Posts

MABADILIKO YAFANYIKA KWENYE UONGOZI WA SIMBA

 

Rais wa heshima, Mohammed Dewji amemteua tena Salim Abdallah Muhene maarufu Try Again kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba.


Mo amesema ana imani na Mwenyekiti Muhene kuwa ataiongoza Simba kufikia mafanikio makubwa zaidi Afrika na duniani. #NguvuMoja

Post a Comment