... Klabu ya Simba imemtambulisha kocha wao mpya Robert Oliviera 🇧🇷 kuelekea michuano ya Mapinduzi cup kama ambavyo ilimtambulisha Pablo Franco Martin ilikuwa pia Kuelekea Mapinduzi cup.
Kocha huyu aliandikisha rekodi nzuri akiwa Vipers 🇺🇬 kama ifuatavyo ;
57 - Michezo.
42 - Kushinda.
06 - Kupoteza
09 - Sare
🏆 02 - Ligi kuu
🥇 Hatua ya makundi klabu bingwa.
