Posts

REKODI ZA KOCHA MPYA WA SIMBA AKIWA NA VIPERS

 


... Klabu ya Simba imemtambulisha kocha wao mpya Robert Oliviera 🇧🇷 kuelekea michuano ya Mapinduzi cup kama ambavyo ilimtambulisha Pablo Franco Martin ilikuwa pia Kuelekea Mapinduzi cup.


Kocha huyu aliandikisha rekodi nzuri akiwa Vipers 🇺🇬 kama ifuatavyo ;


57 - Michezo.

42 - Kushinda.

06 - Kupoteza

09 - Sare


🏆 02 - Ligi kuu

🥇 Hatua ya makundi klabu bingwa.

Post a Comment