Posts

PHIRI KURUDI ZAMBIA

 

PHIRI KUREJEA ZAMBIA KUJIPANGA UPYAAA.

"Ni kweli natarajiwa kwenda nyumbani Zambia kwa ajili ya mapumziko na kuuguza mguu wangu ambao nimeumia katika mchezo dhidi ya Kagera Sugar tukiwa ugenini, naamini mapumziko ambayo nitayapata pia yatanisaidia kupona haraka na kurejea tena uwanjani.

“Kwa mashabiki wangu na wale mashabiki wa Simba wazidi kuniombe ili nipone haraka na nirejee kuwatumikia na kuwapa raha zaidi, hivyo kwa sasa ni kuwatakia tu usindi katika kila michezo ambayo watacheza mimi nikiwa sipo na naamini watafanya vyema,” alisema Mzambia huyo".

MUNGU AKUJALIE URUDI UKIWA BORA ZAIDI GENERAL 🙏🙏

Post a Comment