Azam FC tulieahesabu kama timu inayopigania ubingwa msimu huu, kwa hiyo tulitarajia pengine wangeweza kumpunguza kasi yule ambaye tuponae kwneye mbio za ubingwa.”
“Kitendo cha Azam kupoteza kimempa faida mpinzani wetu tunaeshindananae kwenye mbio za ubingwa. Imetushtua na kutufanya tuwe makini zaidi na kazi zaidi inabidi kufanywa.”
“Kazi tuliyonayo kwa sasa sio kushinda tu mechi zetu lakini pia inabidi mpinzani wetu apotee ili tuweze kupunguza gape la alama.”
“Gape linashtua lakini halipaswi kutuondolea umakini wetu, tuendelee kupambana na kupigania alama tatu.”
AHMED ALLY,Meneja wa Habari na Mawasiliano Simba kuhusu gape la alama kati ya Simba na Yanga
