Posts

KOCHA MPYA ANUKIA SIMBA

 

Klabu ya Vipers SC ya Uganda imethibitisha kuachana na kocha mkuu Roberto Oliveira muda mfupi baada ya kuiongoza klabu hiyo kutinga hatua ya makundi ya klabu Bingwa Afrika kwa mara ya kwanza katika historia ya klabu hiyo.


Olivera (69) raia wa Brazil amekuwa akihusishwa na kujiunga na klabu ya Simba SC ya Tanzania.


Post a Comment