Posts

INONGA YUPO SANA MSIMBAZI ASAINI MKATABA MPYA🔥🔥


 Klabu ya Simba imemsainisha mlinzi wa kati, Henock Inonga nyongeza ya mkataba mpya wa miaka miwili utakaombakisha klabuni hapo mpaka 2025.

Mkataba wa awali wa Inonga (28) raia wa Kidemokrasia ya Congo ulikuwa utamatike mwishoni mwa msimu huu.


Post a Comment