𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄: #NBCPL 🇹🇿
🏟️ Benjamin Mkapa
Simba Sc 7️⃣ - 1️⃣ Tanzania Prisons
⚽ John Bocco (🅰️Ntibazonkiza)
⚽ Jeremiah Juma
⚽ John Bocco (🅰️ Pape Sakho)
⚽ Ntibazonkiza (🅰️ Chama)
⚽ John Bocco
⚽ Ntibazonkiza (🅰️ Mzamiru)
⚽ Ntibazonkiza (🅰️ Mzamiru)
⚽ Kapombe
Shughuli imemalizika katika dimba la Benjamin Mkapa, Simba SC imewapiga Wajelajela, Tanzania Prisons WIKI katika huku Tsh milioni 30 walizoahidiwa Tanzania Prisons zikiwatokea PUANI.
John Bocco amefunga hat-trick yake ya pili kwenye #NBCPL 🇹🇿 msimu huu.
Saido Ntibazonkiza katika mechi yake ya kwanza ndani ya Uzi wa Mnyama ameandika mabao matatu (hat-trick) na kitoa Asisti moja.
